Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe (aliyesimama) akizungumza na wananchi wa Lugalo alipotembelea mnara wa Lugalo walipozikwa Askari 300 wa kijerumani pamoja na kiongozi wao wakati wa ziara yake katika mkoa wa Iringa kukagua maeneo yaliyotumika kama kambi za wanaharakati wa Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika jana Mkoani Iringa. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Mhe. Asia Abdala

 Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Mhe. Asia Abdala (aliyesimama) akizungumza na wananchi wa wilaya ya Kilolo wakati wa ziara ya Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe (kulia) katika mkoa wa Iringa kukagua maeneo yaliyotumika kama kambi za wanaharakati wa Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika jana Mkoani Iringa. 
 Baadhi wa wananchi wa Kilolo wakimsikiliza Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) wakati wa ziara yake katika mkoa wa Iringa kukagua maeneo yaliyotumika kama kambi za wanaharakati wa Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika jana Mkoani Iringa. 

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe (aliyeshika mkuki) katika picha ya pamoja na wananchi wa Lugalo alipotembelea Mnara wa Lugalo walipozikwa Askari 300 wa kijerumani pamoja na kiongozi wao wakati wa ziara yake katika mkoa wa Iringa kukagua maeneo yaliyotumika kama kambi za wanaharakati wa Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika jana Mkoani Iringa. Kushoto kwa waziri ni Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Mhe. Asia Abdala.Picha na: Genofeva Matemu - WHUSM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...